8 kmNilisafiiri 1/3 ya safari kwa miguu,kisha nikasafiri 3/4 kwa baiskeli.ikiwa zilibaki km 2.je safari ilikuwa ya umbali gani
Sent using Jamii Forums mobile app
8 kmNilisafiiri 1/3 ya safari kwa miguu,kisha nikasafiri 3/4 kwa baiskeli.ikiwa zilibaki km 2.je safari ilikuwa ya umbali gani
❌Si kilo 60.
Sawa na nyingine inayosema find x wakat x inaonekana kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
✅ good, see meLet P be mchele
P - 1/4P = 3/4P
1/3 x 3/4P = 3/12P
3/4P - 3/12P = 60
6/12P = 60
P = 60x2
P = 120
Alikuwa na kilo 120
❌Kilo 144
❌Najaribu hapa kusolve napata alikuwa hana mchele😂😂😂
✔ excellent, see me
✔ very good, keep it upNjia.
Fikiria Y iwe ni jumla ya Kg za mchele alizo kuwa nazo Alpha
Mchele alio kula=1/4 ya Y=1/4xY=1/4Y
Mchele alio uza=1/3 ya mchele uliobaki
Lakini Mchele uliobaki baada ya kula=Jumla ya mchele-Mchele alio kula =Y-1/4Y=3/4Y
Kwa hiyo,
Mchele alio uza=1/3 ya 3/4Y =1/3x3/4Y
Mchele aliouza= (1x3)/(3x4)Y=3/12Y=1/4Y
Jumla ya mchele wote=Mchele alio kula+Mchele alio uza + Mchele alio baki nao
Y=1/4Y+1/4Y+60
Zidisha na 4 kila upande
4Y=Y+Y+240
4Y=2Y+240
4Y-2Y=240
2Y=240
Y=120
Kwa hiyo Alpha alikua na Kg 120 za mchele
❌ you are wrong babuu, be serious!
❌alikua na jumla ya kilo 144
kivipi? Embu onyeshaalikua na jumla ya kilo 144
Let x be mchele
twende sawa...kivipi? Embu onyesha
Mkuu kumbuka alpha alikula 1/3 ya mchele ULIOBAKI sio 1/3 ya mchele WOTE. Kama angetuambia amekula 1/3 ya mchele wote ndo tungefanya kama ulivyofanya, na kwa hatua hii ndo TRICK PART ya hesabu ilipo. Kwa hesabu zako kama mchele wote ni X na aliokula ni x/4 basi uliobaki ni X-X/4 ambao jamaa ameuza hapo 1/3.twende sawa...
assume mchele wote jumla ni kg X. SO,
jamaa alikula robo ya mchele wote (x/4)
jamaa akauza theluthi ya mchele wote (x/3)
jamaa akabakiwa na kg 60 kwenye stock, therefore,
ukichukua jumla ya mchele wote (X) utoe aliokula (x/4) na aliouza (x/3) unabakiwa na 60kg
X-(x/4 + x/3)=60
x-7/12x=60
12x-7x=720
5x=720
x=144.
sasa alikula robo ya x (144)
1/4*144=36kg
aliuza theluthi ya x (144)
1/3*144=48.
alibakiwa na 60kg.
proof.
144-36-48=60
144-84=60
60=60 hence prooved.
dah, ndio mana hua tunafeli yaani swali jepesi nimekosa kizembe sana.Mkuu kumbuka alpha alikula 1/3 ya mchele ULIOBAKI sio 1/3 ya mchele WOTE. Kama angetuambia amekula 1/3 ya mchele wote ndo tungefanya kama ulivyofanya, na kwa hatua hii ndo TRICK PART ya hesabu ilipo. Kwa hesabu zako kama mchele wote ni X na aliokula ni x/4 basi uliobaki ni X-X/4 ambao jamaa ameuza hapo 1/3.