The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,147
Swali la 25
ASwali la 25View attachment 1571202
Acha kupotosha mkuu, hapo si kujumlisha sehemu, jibu 0.8
Njia mkuuAcha kupotosha mkuu, hapo si kujumlisha sehemu, jibu 0.8
Njia mkuu0.8 ndio jibu.
Swali jepesi sana hilo ni gumu kwa asiyejua sehemu na kugawanya tu
Nimeipiga Picha inagoma kuwa uploaded.Njia mkuu
2(2x+4)-7(3x-1)/14=1/10Njia mkuu
15 inakujaje mkuu?Nimeipiga Picha inagoma kuwa uploaded.
Kwa maelezo
1: rahisisha hiyo algebraic term Mkono wa kushoto.....
((4x +8) - (21x+7))/14 =1/1015 inakujaje mkuu?
Hasi na chanya pia ikiwa tatizo lzm kujichanganya15 inakujaje mkuu?
Ni jibu sahihi, ni swali rahisi kwa mtu aliyekua akipenda hesabu na changamoto ni kwenye chanya na hasi, pia ni swali la level ya standard seven au six, kwa uwezo wa mtoto naona ni rahs sana hilo swali kumchezesha singeli..
kabisaa...Ni jibu sahihi, ni swali rahisi kwa mtu aliyekua akipenda hesabu na changamoto ni kwenye changa na hasi, pia ni swali la level ya standard seven au six, kwa uwezo wa mtoto naona ni rahs sana hilo swali kumchezesha singeli..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa mkuu ajapotosha ndio mahesabu yake yalipomfikisha kwenye AAcha kupotosha mkuu, hapo si kujumlisha sehemu, jibu 0.8
ila hii system yakuchagua had kwenye hesabu daah inawakosesha utamu madogo wa kusolve...Ni jibu sahihi, ni swali rahisi kwa mtu aliyekua akipenda hesabu na changamoto ni kwenye changa na hasi, pia ni swali la level ya standard seven au six, kwa uwezo wa mtoto naona ni rahs sana hilo swali kumchezesha singeli..
Sent using Jamii Forums mobile app