Msaada swali la hisabati wakuu...

The Boldly

JF-Expert Member
May 21, 2017
2,377
5,147
Swali la 25
20200916_093148.jpg
 
Ni jibu sahihi, ni swali rahisi kwa mtu aliyekua akipenda hesabu na changamoto ni kwenye changa na hasi, pia ni swali la level ya standard seven au six, kwa uwezo wa mtoto naona ni rahs sana hilo swali kumchezesha singeli..

Sent using Jamii Forums mobile app
ila hii system yakuchagua had kwenye hesabu daah inawakosesha utamu madogo wa kusolve...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom