Msaada star times.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wadau wa technologia humu jf ninaomba code ya kuchakachua star times huku Arusha nipate chanel nyingi. Nimejaribu zile wadau walikuwa wanaweka humu zikakataa.
 
umejaribu namba ipi? afu next time uwe unapeleka hii kitu huko kwenye tekinolojia
 
Back
Top Bottom