Msaada: Sponsor Ads inanipa Zero Performance

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,060
2,111
Habari ndugu
Jana kwa mara ya kwanza nimepost ads kwa kutumia computer, tangazo linahusu Saluni yangu na huduma zinazopatikana

  • Nikaweka objective ya message
  • Nikaset audience fresh
  • Nikaweka placement ya Instagram feed
  • Nikapublish report ikasoma tangazo lipo active
  • Shida performance inasoma zero hadi sasa

Yaani reach 0, impressions 0, frequency 0, spent $0

Na pesa kwenye akaunti haijapungua bado inasoma

Msaada wapi nakosea wadau

Screenshot_2021-12-03-12-46-53-328_com.facebook.adsmanager.jpg
 
Wakuu nisaidie nami nisukume kabiashara kangu Nimeanza mwezi huu sasa promo zinahitajika
 
Upande wa Facebook Ads review tayari imekuwa verified? Maana tangazo lazima lipitiwe na kisha lianze kuonekana kwa watu.
 
Habari ndugu
Jana kwa mara ya kwanza nimepost ads kwa kutumia computer, tangazo linahusu Saluni yangu na huduma zinazopatikana

  • Nikaweka objective ya message
  • Nikaset audience fresh
  • Nikaweka placement ya Instagram feed
  • Nikapublish report ikasoma tangazo lipo active
  • Shida performance inasoma zero hadi sasa

Yaani reach 0, impressions 0, frequency 0, spent $0

Na pesa kwenye akaunti haijapungua bado inasoma

Msaada wapi nakosea wadau

View attachment 2031355
Bado iko in review mpaka iwe active ndo itaanza kuonekana
 
Asanteni Kwa ushauri kumbe lilikua bado linapitiwa, sasa lipo hewani na pesa imekatwa ila wateja sijapata bado
Asanteni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom