Msaada: sound drivers za dell inspiron 6000 yenye window 7

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Wakuu baada ya window xp kunizingua vya kutosha nimeamu kuinstall window 7, iko poa lakn tatizo ni kwamba haijaja na sound drivers. Mwenye nazo au link yake anisaidie.
 
instal mojawapo kati ya hizi drivers then restart,,,,,
 

Attachments

  • sound device driver.zip
    5.4 MB · Views: 52
  • Vinyl_AudioCodec_V650a.zip
    6.2 MB · Views: 59
Back
Top Bottom