Msaada: Sony ericsson Xperia Arc S nataka Ku Flash au Hard reset ili Ipone

Boniface Evarist

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,147
512
Jana nime download Sony PC Companion na kuinstall ili niweze kuiupate simu yangu kwa kuwa nimezoea kufanya hivyo katika simu zangu zote hasa Nokia Phone ambazo huwa natumia mara nyingi.

Kilichotokea simu imegoma kuwaka tena na nikiwasha ina blink alama ya simu na mshangao vinakuja kisha inazima...
Wakati wa kuchaji inafanya hivyo hivyo muda wote

Kila nikiuptate ina fail kama hivi:

attachment.php

Kwa sasa simu haiwaki mpaka mwisho tena. Naamini kuna namna naweza fanya na ikawa salama.
Nisaidieni njia au tricks za kutoa hili tatizo:
 
Attachments

  • xperia2.JPG
    xperia2.JPG
    38 KB · Views: 373
hv Sony PC Companion haiwez ku restore cmu?? Maana kwenye i tunes unaweza kurestore ur i pod au any apple product kama imezinguaaaaaa....
 
ku hard rest bonyeza button ya power na zile button Za chini ya kushoto na kulia kwa mpigo kama sekunde kumi na kitu hivi alafu achilia button Za chini utaona adroid icon na utachagua hard rest kwakutumia button Za sauti, ku bonyeza yes ni power button
 
Kumbuka kuwa utapoteza kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Jana nime download Sony PC Companion na kuinstall ili niweze kuiupate simu yangu kwa kuwa nimezoea kufanya hivyo katika simu zangu zote hasa Nokia Phone ambazo huwa natumia mara nyingi.

Kilichotokea simu imegoma kuwaka tena na nikiwasha ina blink alama ya simu na mshangao vinakuja kisha inazima...
Wakati wa kuchaji inafanya hivyo hivyo muda wote

Kila nikiuptate ina fail kama hivi:

attachment.php

Kwa sasa simu haiwaki mpaka mwisho tena. Naamini kuna namna naweza fanya na ikawa salama.
Nisaidieni njia au tricks za kutoa hili tatizo:
M ni mtaalam wa code za kuflashia cm zote .kama upo tayar let's start now.
 
Back
Top Bottom