Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 512
Jana nime download Sony PC Companion na kuinstall ili niweze kuiupate simu yangu kwa kuwa nimezoea kufanya hivyo katika simu zangu zote hasa Nokia Phone ambazo huwa natumia mara nyingi.
Kilichotokea simu imegoma kuwaka tena na nikiwasha ina blink alama ya simu na mshangao vinakuja kisha inazima...
Wakati wa kuchaji inafanya hivyo hivyo muda wote
Kila nikiuptate ina fail kama hivi:
Kwa sasa simu haiwaki mpaka mwisho tena. Naamini kuna namna naweza fanya na ikawa salama.
Nisaidieni njia au tricks za kutoa hili tatizo: