Msaada soko la mbao, na mbao za paret

JACKBIZZO

Member
Jul 11, 2013
83
12
habari gani wana JF, natafuta soko nnambao aina ya pine patula na bodobodo vipimo vyote vinapatikana, pia nna mbao fupifupi kuanzia futi mbili na kuendelea bei ni maelewano,pia nauza mabanzi jumla jumla. pia bei ni maelewano msaada tafadhari kwa anaejua nnakoweza pata wateja. kwa mawasiliano
luwumba2013@gmail.com au
utaliijackson@yahoo.com
 
Ni PM namba yako tupange vizuri.
 
kwasasa napatikana kupia +254726262660
kwasab niko nairobi kwa mwezi mmoja kaka nikiwa tz natumia 0768181757 nadhani unipe pia tuwasiliane siku nayokuja we uko wapi kaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom