Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,410 39,486 Feb 13, 2017 #1 Habarini Wadau, Hivi kwa Arusha nikitaka kuuza mayai ya kuku wa kisasa, soko lake liko wapi na wananunua Tray moja kwa bei gani? Shukran.
Habarini Wadau, Hivi kwa Arusha nikitaka kuuza mayai ya kuku wa kisasa, soko lake liko wapi na wananunua Tray moja kwa bei gani? Shukran.
L lulu za uru JF-Expert Member Aug 7, 2015 2,471 3,095 Feb 13, 2017 #2 Soko kuu LA arusha pale opposite NMB siyo mtaalamu sana ila ya jumla naona hapo bei inategemea upepo ...
Soko kuu LA arusha pale opposite NMB siyo mtaalamu sana ila ya jumla naona hapo bei inategemea upepo ...
L lulu za uru JF-Expert Member Aug 7, 2015 2,471 3,095 Feb 13, 2017 #3 Unauza ya jumla?.soko LA jumla Mara nyingine linashuka mpaka 5500,6000, juu 7000 mpaka7500 Nitafute kama una mengi
Unauza ya jumla?.soko LA jumla Mara nyingine linashuka mpaka 5500,6000, juu 7000 mpaka7500 Nitafute kama una mengi