Msaada soft copy ya Kitabu Cha Essentials of Economics 1 Form Five & Six (Ambrose Othiambo)

Dickson Edwin Mgaya

JF-Expert Member
Apr 2, 2020
511
1,420
Kama kichwa kinavyojieleza ninaomba MSAADA wa kitabu tajwa hapo juu kwa yeyote mwenye nacho in soft copy. Mwandishi ni Mwl. Ambrose Odhiambo wa Bagamoyo.
 
Unafikiri Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo akikusikia unakitafuta kitabu chake kwa njia hizi za panya badala ya kukinunua kihalali naye akapata kipato atafurahi? Ungekuwa wewe ndiyo Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo ungefurahi?

Ngoja nikutafutie mkuu ila tu hakikisha Ambrose Adhiambo wa Bagamoyo asijue
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom