Msaada ,SMS ya mpesa kuibadilisha kuwa halopesa

Cosovo

JF-Expert Member
Jul 8, 2018
667
1,795
Kuna mtu kanitumia hela kutoka mpesa kuja Halotel,lakini haikuingia kwenye halopesa ,isipokuwa imekuja kama sms ya kawaida,kiasi na namba ya siri nitembelee kwa wakala kupata Pesa taslim,hela ni ndogo nataka kuiweka halopesa ninunue vocha,nifanyaje

Wenye kujua
 
Hakuna hiyo option, wewe nenda pokea cash kisha mwambie aiweke kwenye HaloPesa tena kama unavyotaka.
 

Msaada ,SMS ya mpesa kuibadilisha kuwa halopesa​



ALIE NA SOLUTION
Njia Ni 3 tu
1 acha ifikishe siku 7 irudi kwake aliekutumia
2 mwambie airudishe akutumie kwa njia ya kutuma kwenda mitandao mingine
3 nenda kwa wakala umepe namba ya Siri aitoe then akurushie huko halopesa
 
Back
Top Bottom