josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 637
Wadau heri na iwe kwenu, naomba kuelekezwa settings za simu yangu kama kuna sehemu nimejilock maana nashindwa kusoma youtube comments, naambiwa a Restricted mode iko ON ila sijui pa kuizimia.
Nilichokipata ni hiki mkuu.Nenda sehemu ya account yako.. yani sehemu ya details zako..
Disable hiyo restricted modeWadau heri na iwe kwenu, naomba kuelekezwa settings za simu yangu kama kuna sehemu nimejilock maana nashindwa kusoma youtube comments, naambiwa a Restricted mode iko ON ila sijui pa kuizimia.View attachment 1624340
Mimi pia sioni comment wala siwezi kucomment nmeweka off na automatically hapo kweny dns lakini wapi naombeni msaada nmejaribu hata ku update app lakin wapiNimefanikiwa wadau kuna hiyo option hapo niliset kwa ajili ya kuzuia adds za kwenye apps kumbe ikapitiliza majukumu.View attachment 1624692