Msaada: Siwezi kuprint form za kuappeal bodi ya mikopo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Siwezi kuprint form za kuappeal bodi ya mikopo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rogie, Nov 2, 2011.

 1. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,287
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  Habarini za wakti GT, samahani naomba kupatiwa msaada katika hili, nimejaza fomu za kuappeal bodi ya mikopo lkn kila ninapojaribu kuprint hzo fomu inaload kidogo halafu inasimama na wala haileti hzo fomu nilizojaza. Kuna yyte ambaye amekutana na kitu km hii wakuu? tusaidiane

  [​IMG][​IMG]
   
 2. N

  NIMIMI Senior Member

  #2
  Nov 2, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waulize HelpDesks wa Heslb kuna namba zao. Ama nenda cafe utapat msaada zaidi humu si pahala pake. Kimsingi fanya hivyo pole sana ndugu.
   
 3. G

  Ginner JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 1,139
  Likes Received: 263
  Trophy Points: 180
  Nahic unabidi uzidownload afu uziprint katika mfumo wa kawaida
   
 4. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Noana hizo ni mbinu tu bodi hawataki kumwona mtu akiomba mkopo kwa sasa
   
 5. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,287
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  hzo namba zao ukipiga simu inadrop tu....ishu co kuprint...kuna ile link waliyoweka ya kuprint packages ndio inatatiza..inaload afu inarudi palepale bila kuleta hzo fomu.
   
 6. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,287
  Likes Received: 3,018
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye kudownload ndo mzozo uliopo
   
 7. WABALLA Inc

  WABALLA Inc JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2015
  Joined: Sep 2, 2014
  Messages: 2,722
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Jaribu tena na tena utafanikiwa tu
   
Loading...