Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

Wakuu siwezi kulala kabisa kama sijanyetuka/sijapiga puchu/punyeto

Pia siwezi kuamka bila kupiga puchu

Ukitaka usiku nikae usiku kucha bila kulala basi nizuie nisipige nyeto pia ukitaka asubuhi nilale mpaka udhani nimekufa nizuie nisipige nyeto

Nateseka sana.
Uza smart4n tumia kitochi utakuja kunishukuru

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Wadau wametiririka hapo juu kila mmoja anashauri kama kwamba hawajawai kufanya nyeto wakati fulani, cha msingi uwe na imani kwamba utaacha vinginevyo hata ukuchakata demu utaipiga tu..maana haina gharama.
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.

Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.

Msaada wandugu
 
Kuacha hii kitu ni gharama kubwa sana... inabidi utenge fungu nono
Kwa siku za mwanzo inabidi uhakikishe hazipiti siku mbili bila kula mbususu, iwe ya kununua au ya dem wako ila hakikisha huvushi siku 2 bila sex

Baada ya kama wiki 2 za kula mbususu mfululizo sasa unaweza kuongeza gap, angalau ule mbusus mara moja kwa wiki...Itafika kipindi mentally kichwan utaona mbususu ni nzuri kuliko nyeto

Nina miezi mi 5 mpk sasa sijapiga nyeto na kila siku nashinda telegram lakin nimeweza kujicontrol, ni bora upoteze hela kwa kununua malaya kuliko kupoteza hela kutibu tatizo la kutosimamisha au nguvu za kiume

Ni hayo tu
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.

Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.

Msaada wandugu
Ukifanikisha hivi vitu viwili vikubwa, nakuahidi utasahau kama kuna kupiga punyeto dunia hii!!

Sijui unifuate PM Au basi, ngoja nieleze hapa hapa!!
•Epuka kukaa ndani peke yako
fanya yafuatayo kufanikisha:
✓jichanganye na wenzako wakati ambapo unakuwa huna kazi ya kufanya
✓jihusishe kwenye michezo hasa hasa ya kuruka kamba kabla ya kwenda kuoga, alfajili pindi tu unapofumbua macho yako na jioni kabla ya kwenda kulala! Nunua kamba yako ikiwezekana!
✓kamwe usitumie simu yako inapotokea dharura ya kuwa ndani! Ukiwasha data toka nje, kakae mlangoni
✓tafuta kazi! Acha kukaa kaa nyumbani kusubiri ajila!!

•Epuka upweke na msongo wa mawazo
✓tafuta mchumba ambae muda wote atakuwa ana pay attention kila utakapomuhitaji (sina maana kufanya nae mapenzi) la hasha! Kwa ajili ya kukupigisha story za hapa na pale ( tafiti zinaonesha kuwa sauti ya mwanamke ni tiba kwa 30%)
✓jaribu kutumia virutubisho, tafuta tafuta huko, kikubwa kiwe na mmea wa maca ndani yake, kitakusaidia kuziharibu na kuziingiza kwenye mfumo wa damu sperm zinazokuwa zinazidi kwenye korodani na kukuletea washa washa!!
✓mthaminishe mwanamke na kamwe husimwogope! Omba nawe utapewa! Hawajawahi kuwa wachoyo kiasi hicho, labda kama unaishi kanda ya ziwa!!
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.

Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.

Msaada wandugu
Bro acha hii tabia itakuja ikuletee shida mi mpaka najuta kwanini niliifanya saivi mbegu zangu za kiume zina shida nimeshindwa hata kutungisha mimba, nahangaika kutafuta dawa kuzirejeshea ubora wake
 
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 25, nimenza kujichua tangu nikiwa na umri wa miaka 16, mpaka sasa naenda kutimiza miaka kumi na hii tabia.

Nimejaribu njia nyingi sana ku control hii hali isitokee, na hivi imenithiri inafika mida hata nikiwa napiga mzigo mashine haisimami imara kama nilivuokuwa mwanzo, nina maumivu kwenye mishipa ya korodani lakini naacha hata siku nne nyingi nikirudi hapo ni mfululizo, nimeleta kwenu ili nipate msaada wa kitaalamu naondokana vipi na huu uraibu, maana nimeshakuwa teja.

Msaada wandugu
Hujafikisha umri wa kuacha bado. We endelea tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom