prince dudu
Senior Member
- May 24, 2015
- 109
- 76
Habari wana jf wote humu wakubwa kwa wadogo natumai mko wazima wa afya na Kuna mgonjwa mwenyezi mungu amponye me nilikua nahitaji ufumbuzi kuhusiana na keyboard ya pc yangu Aina ya Toshiba old model Sasa nikiiwasha na kuweka password inakubali lakini ikishawaka Tena huwezi type au kuandika chochote na nimeangalia vizuri settings kwenye control panel iko Sawa Sasa sijaelewa tatizo ni nn?.