Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

kwa kawaida salary slips huwa zinachelewa Kutoka Kiasi baada ya ule Mwezi wa Mshahara ugeuke! Mf salary slip ya April, itatoka May!

kingine nna uhakika nacho... Salary slips zimachelewa watumishiportal kuliko Kule MOF salaryportal
 
Uta pata siku ya kesho kulitokea uchelewashaji wa payroll kutumwa kwa baadhi ya halmshauri na tasisi walio wahi walipata mshahara alhamisi usiku na weekend hii ilikuwa ndefu kesho siku ya kazi BOT watamalizia kutuma mishahara kwa tasisi na halmshauri zilizo chelwea kutuma payroll
 
Poa ngoja nisubirie,Mimi ajira yangu serikali kuu wizara ya Afya,(katibu mkuu wizara ya Afya),
 
Salary haijatoka kwa baadhi ya Watumishi Mkuu

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ok,mwaka Jana 2018 mshahara wa mwezi may nilikosa hivihvi tatizo lilikuwa vyeti vya secondary,nilipowasilisha mshahara ukawa unaingia kwenye akaunti kawaida ila huo mshahara wa mwezi may mpaka leo hawakutuma,Sasa Tena mwezi huu imenishitua imenikumbusha ya mwaka Jana,ndo nimeanza kufikiria Mambo ya vyeti Tena lakini mwaka Jana tatizo liliisha baada ya kuwasilisha vyeti,ndo nilikuwa naumiza kichwa imekuwaje Tena mwezi huu,ngoja tuvumilie hiyo tuone
 
Back
Top Bottom