Msaada simu yangu ya samsung note 2 haijaii chaji...

chuma_cha_pua

Member
Sep 28, 2013
24
10
Jaman natanguliza shukrani kwa msaada, plz kama kuna mtu anajua ufumbuzi wa hili tatizo...maana ninachaji siku nzima lakini inaambulia kujaa 11% nkichaji via computer ndo kidogo inafika 42% na hapo imelala usiku mzima ndo inajaa hivyo, please help.
 
Charger mbovu,jaribu kupita kwa authorised dealers wa samsung Samora avenue mkabala na NBC kama upo Dar.
 
I had the same problem with my note 1 . ilikuwa inachukua ten hours kujaa lakini baada ya kubadilisha chaja inaja haraka
 
charger haina uwezo wa kutosha (Current ndogo). make sure hiyo charger ni original na maalum kwa simu hiyo sio tu kwa vile kichwa kinaingia ndio unaitumia.
 
Nina motorola ya android. Huwa haikai na chaji muda mrefu.
Pili nikiitumia inapata moto sehemu ya nyuma.
Wakat wa kuchaji napo nachaji kama masaa 6 ndo inajaa
 
Eliasy zile apps ambazo hutumii zitoe au disable them,pia fanya ku deactivate "auto-sync" utapunguza tatizo kwa kiasi kikubwa.Huko kupata moto kwa simu kama ni mpya hilo ni kawaida,baada ya muda itaacha,just let the software settle for some time.
 
Yani ninayo jamiiforum, twitter, fb, instagram na whatsapp tu.
Gmail, youtube zote nimekuta ktk simu. Yani siwez kuzi unistall
 
Back
Top Bottom