Msaada simu yangu SAMSUNG GT-S 5300 ANDOID. inajilock na kuvibrate

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Nisaidieni wakuu... simu yangu niki iwasha tu inawaka... baada ya muda mfupi inaanza ku vibrate alafu inajizima na kuendelea ku vibrate na kuandika ujumbe huu USER FAULT, NOT KERNEL PANIC, UPLOAD MODE. ikisha leta ujumbe huu kila kitu kinakuwa kime stack,, mpaka nikitoa betri... lakini nikirudishia habari ndo hiyo hiyo,,,,,.... nimejaribu kubonyeza swich pamoja na volume down bila mafanikio...... sasa nifanyeje wakuu? msaada wenu jamani...
 
Imechoka tu mkuu inabidi ubadilishe, nitafute ukitaka cmu nyingine!!
 
Inawezekana kuna app inafanya iyo shughuli. Au Kama kuna app ume install recently jaribu ku uninstall then,zima kisha washa. Otherwise kama uliwahi kutumia usb ku connect kwenye pc na kubonyeza volume key down accidentally inaweza kukufanyia uwo uhuni,but it should be ok ukichomoa usb na ku re-start
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu... mara ya mwisho nilikuwa naangalia movie on line.... ndipo ikaniletea iyo ishu... sija install app yoyote siku ya tatu sasA
 
Umesema switch na volume-, je umejaribu vol+?
NIMEJARIBU MKUU inaniletea ujumbe usemao ONKEY, 7S reset. ujumbe huo una baki kwenye screa sim ikiwa kimya na ina display ile avatra kama robot
 
Back
Top Bottom