We jamaa hebu niazime laki!Kwanini usinunue simu.na ukaachana na hicho kifaa cha mawasiliano?
Unaweza kukuta yuko geto anashindia uji asubuhi mpaka jioni!Wanakuja Matajiri wa JF wenye simu za IPhone, Samsung, HTC, Apple za bei hatari machoni pa Watu lakini kiuhalisia ni walalahoi tu wa mlo mmoja kwa siku bali ulimbukeni tu wa maonesho ndiyo unawazuzua.
We jamaa hebu niazime laki!
Unakosaje laki fogo kama wewe... pesa ya nyanya hiyo??Naona unaiomba damu maiti
Nina hii simu ikikaa muda mrefu bila chaji, nikiiweka kwenye chaji Inakuwa inajiwasha na kuzima, nikiona hivyo naitoa inakaa hata masaa 6 nikija kuweka tena inapokea chaji vizuri na inakuwa sawa.
Huwa niko makini sana isiishiwe chaji.