Msaada: Simu yangu nikiwasha inaandika Tecno na kuzima

Kila siku mnaambiwa tecno sio simu ila hamsikii . Mnashindwa kununua simu mnanunua toys za watoto
 
Tafuta tu simu nyingine tecno sio simu hapo hata ukiflash baada ya siku kadhaa tatizo litajirudi tatizo hilo linatokanana kutumia simu ikiwa kwenye chaji muda mrefu au kuinstall kila app nunua ata samsung ni ngumu sana
 
Nina hii simu ikikaa muda mrefu bila chaji, nikiiweka kwenye chaji Inakuwa inajiwasha na kuzima, nikiona hivyo naitoa inakaa hata masaa 6 nikija kuweka tena inapokea chaji vizuri na inakuwa sawa.

Huwa niko makini sana isiishiwe chaji.
 
Hio Simu ni huawei au??

Nimesahau kidogo jaribu kubonyeza button ya power na button ya volume up kwa pamoja usiachie mpaka dakika 3
Volume up ikishindikana jaribu volume down.
 
Hio uswahilini tunasema Mchina karudi kwao
Yaani kwa Betting ni GG
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom