Msaada: Simu yangu inazima na kuwaka nini tatizo?

vicent moshi

Member
Apr 6, 2015
92
55
Habari wadau simu yangu ni Samsung galaxy tab 4 inazima inakuwa ina re boot na kuzima tena hadi naomva ushauri mafundi wameshanilia pesa nikiondoka tatizo linarudi palepale......
 
Yan mkuu kama inatengenezeka naomba ushauri kwa aliefahamu tatizo ....ni zaidi ya laki tano hakuna wa kuinunua kwa usawa huu mkuuu.....
 
Note 4 yangu ina tatizo hilo pia...
Haya masimu ya Samsung majanga sana.. Nataka nijaribu Iphone nione!!
 
Back
Top Bottom