Msaada: Simu yangu inaletea notification nikiiweka kwenye charge

Efendi

JF-Expert Member
Aug 23, 2016
302
425
Wadau Simu yangu leo kila nikiweka kwenye chaji inakuja maelezo haya the connected device is not supported simu ni Samsung A 12 hili ni tatizo la pili tatizo la kwanza karibu wiki ya pili hii nikiiweka kwenye charge lazima ni irestart kwanza ndo niicharge bila hivyo haicharge

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo chaji uliinunua na simu? Yani ni chaji orijino ya hiyo simu?
 
Wadau Simu yangu leo kila nikiweka kwenye chaji inakuja maelezo haya the connected device is not supported simu ni Samsung A 12 hili ni tatizo la pili tatizo la kwanza karibu wiki ya pili hii nikiiweka kwenye charge lazima ni irestart kwanza ndo niicharge bila hivyo haicharge

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Au charger unayotumia sio org
 
Unafeli wapi?
Chaja unayotumia sio sahihi
 
Wadau Simu yangu leo kila nikiweka kwenye chaji inakuja maelezo haya the connected device is not supported simu ni Samsung A 12 hili ni tatizo la pili tatizo la kwanza karibu wiki ya pili hii nikiiweka kwenye charge lazima ni irestart kwanza ndo niicharge bila hivyo haicharge

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Kiufupi nimegundua Samsung A12 zinashida infact mm kuna mtu namfahamu anayo hiyo hiyo nae alinunua fullbox anasema ikiamua inazima haiwaki inakaa siku mbili inawaka tena hizo simu wamekosea wapi sijui.
 
Sure Hata mm naiona hii shida mimi yangu sometimes kuna uweupe unakuja mbele ya kioo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Jaman msaada please Natumia simu ya Samsung Galaxy A12.

Sasa nikichomeka USB kwenye kompyuta kuamishia nyimbo nilizo download toka kwenye simu kwenda kwenye kompyuta. kuna mafile yanaingia yenyew kwenye simu hasa ya muzik alaf na picha zile za wallpaper za kompyuta zinaingia nazo kwenye simu iv hapo nawezaje kutatua tatizo hilo ili nikichomeka usb data yeyote kuingia kwenye simu mpaka niruhusu mimi
 
Back
Top Bottom