Msaada, simu yangu inagoma kuandika

Ritchy Breezy

Senior Member
Dec 9, 2020
122
250
Habari,poleni na majukumu

nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita,ktokana na ukata wa pesa ukanfanya kukumbuka simu nlikuwa nmeiweka ndani tecno pop 2f ilovunjika kioo siku za nyuma(kioo complete)tatizo inastuck sana&nkiwa naandka namba ili npate 1 lazma nbonyeze 2,vivyo hvyo ata nkiwa natype sms

mwenye ako na ujuzi au ashawahi kumbana na changamoto kama hii alipobadlisha kiio&touch vya simu ake naomba kujuzwa Jinsi alivyosolve tatizo kama hili.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,052
2,000

Nadhani tatizo ni mafundi. Nimeshaona simu kadhaa zikibaeilishwa kioo basi Touch inasumbua. Sio tu simu za tecno hata simu zingine kama Nokia , samsung nk. Mafundi hawana ueledi ila ukipata fundi anayejielewa kila kitu kitakaa sawa.
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,419
2,000
Nadhani tatizo ni mafundi. Nimeshaona simu kadhaa zikibaeilishwa kioo basi Touch inasumbua. Sio tu simu za tecno hata simu zingine kama Nokia , samsung nk. Mafundi hawana ueledi ila ukipata fundi anayejielewa kila kitu kitakaa sawa.
NDIO MANA MIE SIM LANGU MOJA HIVI FULL CRACK ILA SIBADIL KWA KUA LINAPIGA MZIGO FRESH TU
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom