Msaada: Simu yangu inaandika 'iphone disabled connect to itunes'

noel oga

JF-Expert Member
Oct 20, 2015
263
204
Habar mafundi,

Samahan nimepata tatizo mtoto kuchezea passcode na baadaye simu kujifunga na ujumbe kujitokeza iphone disabled.

Nimejaribu ku restore ila imeniomba apple id na password na katika kumbukumb zangu sikukumbuki hiyo nywila isipokuwa najua tu passcode za kufungulia simu tu.naomben ushauri nifanyeje kuhusu hili nirejeshe simu yangu.

Ahsanteni
 
Hapo ina maanisha hiyo simu ina activation lock, kwa sababu uliwasha find my device.
Kwa sababu simu ni yako basi utakuwa unakumbuka baadhi ya taarifa zitakazo kuwezesha ku log in.

Kama umesahau kabisa itabidi uingie gharama ya kui bypass lakini kumbuka haitatoka permanent.

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Habar mafundi,

Samahan nimepata tatizo mtoto kuchezea passcode na baadaye simu kujifunga na ujumbe kujitokeza iphone disabled.

Nimejaribu ku restore ila imeniomba apple id na password na katika kumbukumb zangu sikukumbuki hiyo nywila isipokuwa najua tu passcode za kufungulia simu tu.naomben ushauri nifanyeje kuhusu hili nirejeshe simu yangu.

Ahsanteni
Call 0764196887
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom