Msaada: Simu yangu iko kwenye lugha ya Kijerumani

albuluushiy

JF-Expert Member
Oct 2, 2013
1,405
685
Habari za jioni wadau
Nina simu aina ya t-mobile m.d.a window phone mpya ila tatizo ina Kijerumani ndugu zangu ajuae anisaidie kubadilisha kwenda kwenye kiingereza au anishauri nifanyeje, pia naomba msaada wa jinsi ya kupata store yake

Ahsanteni wapendwa
 
Ushauri wa haraka tafsiri hiyo lugha kwa kutumia google translator ili ubadili kwenda kiingereza.
 
Nilimaanisha utumie vyanzo vingine kama computer yenye internet kujua hiyo lugha.
 
Nilipata tatizo kama hilo nikasechi you tube nikapata video nikadesa...video ya kiingereza lakini mi nilikariri button husika
 
badili vitu viwili language na region.

bonyeza setting scroll mpaka utaona kuna kuna maneno then yana clarification yenye mabano. kama screenshot hii

mJdpVT5.png


itadownload kama phone update na itataka urestart simu.
 
Back
Top Bottom