zebigmaster
Member
- Dec 22, 2015
- 39
- 17
Jaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.
Poa mkuiNdio shida ya Non-Removable battery phone hiyo....Jaribu kwenda Tecno shop au kwa fundi ukawaulize
Shwari aiseePoa mkui
Unajibu comments wa kwanza AiseeNdio shida ya Non-Removable battery phone hiyo....Jaribu kwenda Tecno shop au kwa fundi ukawaulize
Hahaha usiwaze mkuu...kawaidaUnajibu comments wa kwanza Aisee
zinafunguka ila kabla huja badilsha betri inatakiwa ujue chanzo viko vyanzo viwili cha kwanza ni aina ya Charger unayo tumia pili ni jinsi unavyo charge hapo namaanisha muda unao tumika kulicharge betri wengi hatuna nidhamu ya kuzi charge simu zetuJaman nina simu tecno j8 mwanzo ilikua inakaa na chaj sana sasaiv kwa siku nachaaj ata mara 3 shida ni kwamba betri ake imetengenezewa kwa ndani jeh naweza kuibadl kuweka mpya <br />.