Msaada: Simu yangu haiingiz chaji ikiwa imewaka mpaka izimwe

Ally780

Member
Aug 8, 2021
22
45
Kama nilivyoeleza hapo juu simu yangu Aina ya Tecno park 5 Ina tatizo la kutopokea chaji ikiwa imewashwa takriban wiki Sasa.
Njia pekee ninayotumia kwa Sasa Ni kuizima tu kila ninapohitaji kuichaji.

Tatizo Hilo lilianza Mara tu baada ya kuja silent notification ya Android system kwenye simu yangu ambayo inasomeka
"Charging connected device via USB".

Nimejaribu kutafuta namna ya kuifuatilia notification hiyo ili nijue chanzo chake lakini jitihada zangu hazikuzaa matunda.

Naomba msaada kwa wataalam naomba mnijuze Nini tatizo na nawezaje kulitatua.

Naomba kuwasilisha.
 

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,390
2,000
Badilisha io charge tafuta charge yake aim kama imeoishana na chaji Mara nyingi hufanya ivyo na muda mwingine touch kutofanya kazi
 

ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
3,040
2,000
Angalia usikute charger zote ulizotumia ni feki. Tafuta charger ya maana na waya mzuri.

Simu yako ni aina gani? Charger unazotumia zinatoa ampere ngapi?
Asante mkuu nimejaribu kibadilisha charger Zaid ya nne Ila tatizo bado halijaondoka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom