Msaada simu yangu haifanyi kazi kwenye upande wa "Vibration"

wa hapa hapa

JF-Expert Member
Aug 20, 2014
281
150
Naomba maelekezo namna ya kurudisha mfumo wa vibration kwenye simu yangu(Infinix Hot 8). Tatizo hili limeanza siku za karibuni, nimeingia kwenye "settings" nimeset on for incoming calls lakini hakuna mabadiliko.

Lakini pia ninapompigia mtu akishapokea haivibrate kama ilivyokuwa awali.

Nahitaji msaada zaidi.
 
Back
Top Bottom