Msaada: Simu yangu haidownload mafaili kupitia play Store

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,189
3,684
Wasalaam wakuu wakubwa zangu shikamoo wadogo zangu malhaba.

Naenda moja kwa moja kwenye jambo langu
Simu yangu ni Samsung Galaxy Not3 ina mda wa mwaka mzma haikubali kudownload mafaili kupitia playstore hata kama nkitaka ku aapdate ndo hivyo

Screenshot_2021-01-09-16-04-01.jpeg

Lakini kwasasa natumia aap1 APKpure niliidownlod google
Screenshot_2021-01-09-16-06-47.jpeg
hii ndio inanisaidia kwa sasa rakini changamoto yake kuna baadhi ya apu zenye ukubwa kama tweeter zinagoma kuapulodi kupitia APKpure

Msaada mwenye uelewa kuusu hili anisaidie
 
Wasalaam wakuu wakubwa zangu shikamoo wadogo zangu malhaba.

Naenda moja kwa moja kwenye jambo langu
Simu yangu ni Samsung Galaxy Not3 ina mda wa mwaka mzma haikubali kudownload mafaili kupitia playstore hata kama nkitaka ku aapdate ndo hivyoView attachment 1672919
Rakini kwasasa natumia aap1 APKpure niliidownlod googleView attachment 1672920 hii ndio inanisaidia kwa sasa rakini changamoto yake kuna baadhi ya apu zenye ukubwa kama tweeter zinagoma kuapulodi kupitia APKpure

Msaada mwenye uelewa kuusu hili anisaidie
Tatizo lishawahi nikuta nenda kwenye all apps ingia Google playstore,alafa clear all data ambayo ita automatically clear na cache.alafu try again kudownload
 
Tatizo lishawahi nikuta nenda kwenye all apps ingia Google playstore,alafa clear all data ambayo ita automatically clear na cache.alafu try again kudownload
Nimejaribu rakn inakataa tu sjui tatzo nini
Screenshot_2021-01-09-19-16-01.jpeg
 
Nenda play store clear data then nenda Google play services pia clear data then jaribu Tena
 
Wasalaam wakuu wakubwa zangu shikamoo wadogo zangu malhaba.

Naenda moja kwa moja kwenye jambo langu
Simu yangu ni Samsung Galaxy Not3 ina mda wa mwaka mzma haikubali kudownload mafaili kupitia playstore hata kama nkitaka ku aapdate ndo hivyo

View attachment 1672919

Lakini kwasasa natumia aap1 APKpure niliidownlod googleView attachment 1672920 hii ndio inanisaidia kwa sasa rakini changamoto yake kuna baadhi ya apu zenye ukubwa kama tweeter zinagoma kuapulodi kupitia APKpure

Msaada mwenye uelewa kuusu hili anisaidie
Umefanikiwa? Kama la basi jaribu ku download ukiwa umewasha VPN
 
Back
Top Bottom