duu mzee unakatisha tamaa hatari!!
hahahahaa, nadhani ataufanyia kazi ujumbe wakoKanunue simu mpya tu...kama huna muda mchafu na hela za kuchezea
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Tafuta wale jamaa wa imei community wakusaidie wako hata facebook..andika tu Imei community utawaonaNina IMEI zake, je naweza kujua iliko? msaada tafadhali
ngoja niwahi huko nione kunani huko.Tafuta wale jamaa wa imei community wakusaidie wako hata facebook..andika tu Imei community utawaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina full box kabisa hadi risiti lakini najua polisi jinsi kulivyo,utapoteza pesa ambazo unaweza kununua simu ingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah sio poa kabisa hawa Wezi,wana mbinu za kisasaKuna Dogo kaporwa redmi Note 5 ameripoti polisi na TCRA but zaidi ya kupewa RB hakuna msaada wowote wa maana!!
Yaani hata tracking haifanyi kazi coz ulikuwa inaonyesha Mara ya mwisho ni eneo la tukio basi kwamaana jamaa waliizima.
Nilichogundua ni kwamba wakishakuibia wanaizima then wanakausha hadi miezi kadhaa ipite ndio waitoe mafichichoni
hahhahaaa noma sanaMara ya mwisho ni eneo la tukio
Afu ukute washafanya manouver ya kuiflash na kuchange IMEI au ikishindikana wanachomoaga circuit na vilivyobaki wanauza Kama spea au kuipiga Bei simu nchi jirani Kama Mozambique,Malawi,Zambia au Kenya.hahhahaaa noma sana
Ndio ukweli wenyewe boss kuipata simu yako labda iwe imechukuliwa na kibaka mjinga mjinga.duu mzee unakatisha tamaa hatari!!
Kabisa asee,hakuna ujanjaAfu ukute washafanya manouver ya kuiflash na kuchange IMEI au ikishindikana wanachomoaga circuit na vilivyobaki wanauza Kama spea au kuipiga Bei simu nchi jirani Kama Mozambique,Malawi,Zambia au Kenya.
Yaani hakuna namna ukiibiwa au kupoteza dawa ni kujipanga ununue nyingine