MSAADA: Simu ya imeibiwa, nina imei zake

Kanunue simu mpya tu...kama huna muda mchafu na hela za kuchezea

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Kuna Dogo kaporwa redmi Note 5 ameripoti polisi na TCRA but zaidi ya kupewa RB hakuna msaada wowote wa maana!!
Yaani hata tracking haifanyi kazi coz ulikuwa inaonyesha Mara ya mwisho ni eneo la tukio basi kwamaana jamaa waliizima.
Nilichogundua ni kwamba wakishakuibia wanaizima then wanakausha hadi miezi kadhaa ipite ndio waitoe mafichichoni
 
Daaah sio poa kabisa hawa Wezi,wana mbinu za kisasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahhahaaa noma sana
Afu ukute washafanya manouver ya kuiflash na kuchange IMEI au ikishindikana wanachomoaga circuit na vilivyobaki wanauza Kama spea au kuipiga Bei simu nchi jirani Kama Mozambique,Malawi,Zambia au Kenya.
Yaani hakuna namna ukiibiwa au kupoteza dawa ni kujipanga ununue nyingine
 
Kabisa asee,hakuna ujanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dingii nenda kanunue ingine now wanabadilisha IMEI police utapoteza muda na chapaa ambayo huenda ungenunua nzur zaid ya hiyo uliyopoteza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom