Msaada:Simu haisomemi files kwenye pc

ichenjezya

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
1,010
1,119
Wakuu nina samsung galaxy s4,mwanzo nilikua naweza ku exchange vitu kutoka kwenye computer kwenda kwenye Cm au kwenye Cm kwenda kwenye computer,lakini kwa sasa nikichomeka waya wa Usb nashindwa ku detect files toka kwenye Cm,ila inaingiza chaji kama kawaida,naombeni ushauri chakufanya juu ya hili tatizo,maana nakosa raha coz nadownload video au movies via Cm but nikitaka kuhamishia kwenye PC inakua shida,much respect to you all.....
 
samsung usb drivers status yake ipoje kwenye pc?

mkuu yaaani kwenye pc hakuna chochote kinachoonekana,zaidi ya mlio unaotoka kwenye pc unaoonesha kuwa kuna external device imechomekwa,mlio kama ule unaotokea kama ukichomeka moderm,flash n.k,so hakuna chochote kinachoonekana kutoka kwenye cm,nimejaribu kutoa memory card toka kwenye cm but nimekuta videoz nilizo downloads hazipo it means zimebaki kwenye phone memory,labda kama naweza fahamishwa jinsi ya kuwezesha downloads zote nazofanya kwenye CM niwe nazikuta kwenye memory card,ili walau niwe nahamisha vitu toka kwenye Memory card mannually
 
Aah Im not sure if this might help .. but its worth trying .. Try this

I believe you are using android v4.2+

Option 1 :
Go to Settings -> Developer Options then enable usb debugging .
Note: Kama huon Option iliyoandikwa Developer Options
Settings -> About phone then scroll down mpaka sehem iliyoandikwa kernel version afu tap mara 5 au zaid mpaka Ikupe message kwamba developer option imekua enabled then rud back fanya kama nlivyokuambia hapo juu

s4 developer.jpg

Option 2:
Go to Setting -> Storage -> tap menu itakupa option ya USB connection
Select USB storage au Media Device (MTP) afu plug your cable then check kama imekubal .
 
Back
Top Bottom