Wana Jamii, Nimekuwa na tatizo kubwa katika kutafakuri na kupambanua juu ya Siku hii Ya Eid Al- Hajj, mimi ni muislam ila nashindwa kuelewa kwanini Eid hii inasherehekewa siku mbili tofauti hapa tanzania? Maana kuna watu wanaochinja,(hata nchi jirani za wenzetu leo wanachinja) na ndio maana hasa ya Eid El Hajj, sasa kwanini wengine waoge siku inayofuata, Je tunakwenda sawa na maana ya Eid El Hajj?? Naomba msaada wa kuelewa plizz