Msaada- Siku ya Eid El-Hajj

Samat

Member
Dec 20, 2009
35
1
Wana Jamii, Nimekuwa na tatizo kubwa katika kutafakuri na kupambanua juu ya Siku hii Ya Eid Al- Hajj, mimi ni muislam ila nashindwa kuelewa kwanini Eid hii inasherehekewa siku mbili tofauti hapa tanzania? Maana kuna watu wanaochinja,(hata nchi jirani za wenzetu leo wanachinja) na ndio maana hasa ya Eid El Hajj, sasa kwanini wengine waoge siku inayofuata, Je tunakwenda sawa na maana ya Eid El Hajj?? Naomba msaada wa kuelewa plizz
 
Idd el adha au Eid el hajj ni kisimamo cha Arafa na Afara inasimamwa sehemu moja tu Duniani na ilikuwa jana sawa na tarehe na siku ya pili baada ya kisimamo cha arafa siku ya pili ni eid ila hapa kwetu haya mambo yanaendeshwa kisiasa zaidi kwahiyo eid el hajj ni leo ila mapumziko kiserikali ni kesho. Allah kwenye kitabu chake kitukufu hakusema kuleni eid el haj kwa kuuona mwezi amesema kuleni eid baada ya arafa.

Nipo tayari kusahihishwa na wenye kujua zaidi.
 
Nadhani hii "thread" inafaa sana kule kwenye mambo ya kidini. Hapa tunaogopa kusingiziwa kukashifu mtu.
 
Nadhani hii "thread" inafaa sana kule kwenye mambo ya kidini. Hapa tunaogopa kusingiziwa kukashifu mtu.

Hiyo bendera yako ya chadema unafahamika ni mlokole, sio lazima uwe nigative kwa kila kitu, kama huna cha kuchangia basi angalau soma ujifunze
 
jamani hii iende kwenye dini wengine tunakula mboga saa hizi (yule mbuzi white)....
 
Elimu kidogo Arafa ndo nini
Kule algeria jama wamekula Eid tarehe 16 ie jne
 
Kwani kakosea nini kuliza swali? Kwani ni siri kwamba mawe hurushwa ili kumponda shetani kila waendapo kuhiji?

Huyu Sheitwani anaekaa kule kwenye jiwe jeusi inakuaje hafi licha ya kupondwa mawe kila mwaka?



:crazy::A S 114::laser::boom::scared:
 
Kwani kakosea nini kuliza swali? Kwani ni siri kwamba mawe hurushwa ili kumponda shetani kila waendapo kuhiji?

Huyu Sheitwani anaekaa kule kwenye jiwe jeusi inakuaje hafi licha ya kupondwa mawe kila mwaka?



Mwenzenu anauliza kuhusu eid mnambadilishia mara kutupa mawe mara jiwe jeusi yaani hata mnachojadili hamkijui ushabikiushabiki tu!!!!!?
 
Back
Top Bottom