msaada sijui maana ya msemo huu wa viongozi wangu wa tanzania NINI?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada sijui maana ya msemo huu wa viongozi wangu wa tanzania NINI??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by sitakuwafisadi, May 9, 2011.

 1. s

  sitakuwafisadi Member

  #1
  May 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  KWAKILADHULUMA WATANZANIA TUDUMISHE AMANI!!?? UNAPORWA ARDHI DUMISHA AMANI!! UNALALA NJAAA NDUMISHA AMANI!! UNAUMWA SANA DUMISHA AMANI !! HUNA ELIMU DUMISHA AMANI!! UNAIBIWANA MWENZIO DUMISHA AMANI!!“Yesu alihubiri haki kwanza, na hawa (CCM) wanatakiwa kuzingatia hilo kwani amani na utulivu haviwezi kuwepo bila haki,”haki huinua taifa balidhambi niaibu ya watu wote.NAPATA TAABU KUELEWA MSEMO HUU WA KUDUMISHA AMANI niwatake radhi nitakao wakwaza mnieleweshe misingi ya amani ya nchi yangu ya tanzania.
   
Loading...