Msaada sifa za kusoma IT ni zipi kwa mtu aliesoma o-level...

Habari wana Jf......
Mmi naomba kujuzwa tuu sifa ili mtu aweze kusoma it ambayee ameishiaa form four
Ayo mengine yote nna pass but physics ndo "f " inaweza ikaninyima nafasi kabisaa??
F ya physics haiwezi kukunyima nafasi ukichagua chuo kwa umakini.
Kwa certificate program zinazosimamiwa na NACTE unatakiwa uwe na angalau pass (D) nne tu katika masomo yako ukitoa yale ya dini. Kuna vyuo vingine hueleza ni masomo yapi yawe kati ya hayo manne lakini kwa ufaulu wako hutakosa (labda kama kuna ushindani mkubwa). Ingia nacte utakuta admission guide za mwaka huu na moja ina deal na issue za IT pamoja na mambo mengine hapo utakuta vyuo, mahitaji yao na ada zake. All the best.
 
IT unaweza kujisomea mwenyewe mtandaoni. Juhudi zako tu. Are you hard-working or hardly-working :D ?

Anzia hapa: http://www.edx.org

Maneno ya busara hapa: http://reddit.com/r/learnprogramming
Mkuu najiuliza kwa vijana wetu waliomaliza F4 kwenye hizi shule zetu unafikiri watakuwa na uelewa wa kutosha na discipline ya kujisomea wenyewe? Binafsi nina wasi wasi sana labda wale wa liomaliza A level. Akipata chuo kitamsaidia kumuweka vyema ingawa hata kama ni certificate ya mwaka mmoja baada ya hapo anaweza kujisomea mwenyewe ikibidi.
 
Mkuu Masiya (Jina kubwa sana hilo :cool: ),

Umetaja vitu viwili:

1. Uelewa wa kutosha
2. Nidhamu

Kichanganuzi kikuu cha mafanikio ya mtu kitaaluma kinategemea kwa asilimia zifuatazo:

1. Nidhamu binafsi (85%)
2. Uelewa binafsi
3. Mazingira, na vyote vingine vilivyobaki (15% ikiwa ni jumla ya Namba 2 na Namba 3 kwenye orodha hii).

Mwanafunzi mwenye nidhamu binafsi ya kuwa king'ang'anizi bila kujali yatokeayo na pia kuwa mwenye kusimamia malengo aliyojiwekea, anaweza kujisomea chochote anachotaka.
 
F ya physics haiwezi kukunyima nafasi ukichagua chuo kwa umakini.
Kwa certificate program zinazosimamiwa na NACTE unatakiwa uwe na angalau pass (D) nne tu katika masomo yako ukitoa yale ya dini. Kuna vyuo vingine hueleza ni masomo yapi yawe kati ya hayo manne lakini kwa ufaulu wako hutakosa (labda kama kuna ushindani mkubwa). Ingia nacte utakuta admission guide za mwaka huu na moja ina deal na issue za IT pamoja na mambo mengine hapo utakuta vyuo, mahitaji yao na ada zake. All the best.
Ubarikiwee sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom