Msaada(siasa za mrengo wa kushoto na kulia) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada(siasa za mrengo wa kushoto na kulia)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mlaizer, Aug 24, 2012.

 1. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wasalamu
  Katika kufuatilia mambo ya siasa kuna vitu viwili nashindwa kuzielewa nayo ni;
  Siasa na mrengo wa kushoto na siasa na mrengo wa kulia.
  Kwa wale wataalamu wa siasa,ninaomba majibu ya maswali yafuatayo;
  1.Maana ya siasa za mrengo wa kushoto na siasa za mrengo wa kulia(kwa kila moja)
  2.Tofauti na ufanano zao.
  3.maana ya siasa za mrengo wa kati.
  Ahsante
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Pia kuna siasa za mlengo wa kati.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,778
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  pia kuna siasa za maji-taka.
   
 4. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  siasa za maji taka sijapata kusikia kimataifa
   
 5. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,429
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  pia kuna siasa za ki chama tawala.
   
 6. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,521
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Jibuni hoja, acheni mbwembwe!
   
 7. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,607
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  c mjibu basi mbona mbwembwe
   
 8. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #8
  Aug 24, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,521
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Teh! Teh! teh! Christine bwana! Even me, 'am waiting for correct answers frm those who persued political science. " We can help other to achive self understanding by being supportive to them" - Abraha Maslow
   
 9. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #9
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,607
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  yes@malalika,even me,i'v no idea ndo maana nataka kujua,ss nashangaa hata hawajibu
   
 10. t

  thatha JF-Expert Member

  #10
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,209
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mimi ninavyojua, siasa za mrengo wa kusho huwa zinafanywa na Chama pinzani ambacho kinakuwa kinapingana kisera kwa 100% na chama tawala, na zile za mrengo wa kati(wakati mwingine, mrengo wa wastani) zinafanywa na chama ambacho kinakuwa tati kati ya sera cha chama tawala na zile za chama chenye mrengo wa kushoto. Ila mkuu,usitemegee majibu yenye maana kwa vile humu JF watu wapo kishabiki tu na uelewa wao juu ya masuala ya siasa ni mdogo sana na ndiyo maana wengi wao ni bendera fuata upepo tu.
   
 11. t

  thatha JF-Expert Member

  #11
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,209
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Wengi humu washabiki tu, uelewa wao wao wa kisiasa ni mdogo sana.
   
 12. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #12
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,632
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Siasa za mrengo wa kushoto =Socialism
  Siasa za mrengo wa kulia = Capitalism e.g. USA, Germany sometimes, UK and many other european countries
  Siasa za mrengo wa kati =Social democrat e.g. scandinavian countries
  Siasa za majitaka = Siasa chafu, fitina, uzandiku, wizi, e.g. malizia mwenyewe
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,333
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Pitia hapa upate pa kuanzia: Left
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Aug 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,370
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 280
  Daa ina maana mtu hawezi hata ku google kwanza kabla hajafungua thread?
   
 15. mlaizer

  mlaizer JF-Expert Member

  #15
  Aug 24, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sidhani kama umejibu swali langu,hata mwanafunzi anapomuuliza mwalimu swali haimaanishi kuwa mwanafunzi hana kitabu cha kusoma.
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Aug 24, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,209
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  In politics, the Left, left-wing, and leftists are people or views which generally support social change to create a more egalitarian society.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP][SUP][4][/SUP] They usually involve a concern for those in society who are disadvantaged relative to others and an assumption that there are unjustified inequalities (which right-wing politics views as natural or traditional) that should be reduced or abolished


  In politics, the Right, right-wing, and rightist have been defined as acceptance or support of social hierarchy.[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP] Inequality is viewed by the Right as either inevitable, natural, normal, or desirable,[SUP][1][/SUP] whether it arises through traditional social differences[SUP][4][/SUP] or from competition in market economies
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  Aug 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hapo underlined huo ndio uelewa wako! nadhani tatizo litakuwa "Join Date : 10th August 2012" kama si kuutafuta umaarufu kwa nguvu, soma majibu ya wenzako hapo juu
   
 18. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #18
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kama CHADEMA. CHADEMA is a centre party. Angalia katiba ya CHADEMA.
   
 19. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #19
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 11,607
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  mmmhhh!
   
 20. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #20
  Aug 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  siasa za mabwepande pia zipo za magamba.
   
Loading...