Kifaru TANZANIAN
Member
- Aug 22, 2020
- 45
- 14
Jamani kwa wanaojua shule za advance za bei nafuu under 900000, HGL naomba msaada sina ada ya shule za gharama.
ArushaUpo wapi?
ArushUpo wapi?
ArushaUpo wapi?
Morogoro Maeneo Ya Nane 8 Alfagems Ila Ni Million 1Arusha
Jaribu kucheck shule za jeshiJamani kwa wanaojua shule za advance za bei nafuu under 900000, HGL naomba msaada sina ada ya shule za gharama.
AsanteJaribu kucheck shule za jeshi
Jitegemee
Makongo
Airwing
Hizi ni shule nzuri sana zina nidhamu ya malezi na gharama zake ni nafuu haziwezi kuzidi 900k
0629105649 Shule IPO mafinga / IringaAsante
PopoteUnataka za mkoa wa Arusha tu au popote tz?
PopoteUnataka za mkoa wa Arusha tu au popote tz?
Kama upo dar mbezi high school inatiza 700000 day na kwa combinenga hyo wapo vizuri nimepita hapo nikatoka division 1Jamani kwa wanaojua shule za advance za bei nafuu under 900000, HGL naomba msaada sina ada ya shule za gharama.
Yaaah umenenaaa hata hizo nimesoma olevel makongo ni laki 7Jaribu kucheck shule za jeshi
Jitegemee
Makongo
Airwing
Hizi ni shule nzuri sana zina nidhamu ya malezi na gharama zake ni nafuu haziwezi kuzidi 900k
Kama upo dar mbezi high school inatiza 700000 day na kwa combinenga hyo wapo vizuri nimepita hapo nikatoka division 1
Ya HGLYaaah umenenaaa hata hizo nimesoma olevel makongo ni laki 7
Yaaah mkuu na bei chee tuu na wapo vizuri kuna mama mchwampaka pale bingwa wa historia mzuriMakongo wanakomb
Ya HGL