Msaada-shule za watoto watukutu na wakorofi

Kama unaishi dar es salaaam nenda pale upanga kama unaingia regency hospitali kuna jela pale ya watoto,palepale utapata ufumbuzi wa tatizo lako
 
Kuna shule inaitwa manyara range, iko mto wa mbu nadhani. Nilitishiwa nayo maisha throughtout my freaking youth. Nadhani ni ya watoto watundu.
 
Mkuu jmura, swali lako ni fupi mno, fafanua. Unahitaji shule kwa ajili ya kumpeleka mtoto au unataka kutoa msaada? Maana kati ya hizo shule kuna zilizo bora kuliko nyingine kwa kurekebisha watoto na nyingine ziko hoi kiasi kwamba zinahitaji msaada wa wadau kama wewe. Zote zina mchango mkubwa katika kuijenga jamii iliyo bora. Ukijibu hili utapata majibu sahihi kulingana na mahitaji yako. Asante.
 
Last edited by a moderator:
Kuna shule inaitwa manyara range, iko mto wa mbu nadhani. Nilitishiwa nayo maisha throughtout my freaking youth. Nadhani ni ya watoto watundu.
asante- mkuu hii ni primary au secondary kwa sababu mimi nahitaji primary.
 
Mkuu jmura, swali lako ni fupi mno, fafanua. Unahitaji shule kwa ajili ya kumpeleka mtoto au unataka kutoa msaada? Maana kati ya hizo shule kuna zilizo bora kuliko nyingine kwa kurekebisha watoto na nyingine ziko hoi kiasi kwamba zinahitaji msaada wa wadau kama wewe. Zote zina mchango mkubwa katika kuijenga jamii iliyo bora. Ukijibu hili utapata majibu sahihi kulingana na mahitaji yako. Asante.
mkuu nilikuwa nahitaji primary school
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom