Tetesi: MSAADA: Shule Za Umoja Wa Wazazi (jumuiya Wa Wazazi Tanzania)

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
261
90
Habari Wana Jukwaa,
Jumuiya Ya Wazazi Tanzania Inamiliki Shule Kadha Wa Kadha Ndani Ya Tanzania Zaidi Ya 70,
Ikiwemo
Itende- Mbeya
Ujiji High Schoo- Kigoma
Sangu - Mbeya
Ivumwe- Mbeya
Meta- Mbeya
Mbalizi- Mbeya
Kwa Mwenye Kujua Shule Zingine Zinazomilikiwa Na Jumuiya Ya Wazazi, Katika Mikoa Yote Ya Tz Bara, Naomba Aziweke Hapa

S H U Q R A N
 
Huwa nafanya kazi za Online Research, yaani kutafuta data mbalimbali! Huwa naogopa sana kupata tenda za Online Research kutoka Afrika!! Kwa wenzetu, hapo ilikuwa ni suala la kuingia tu kwenye tovuti ya Umoja wa Wazazi na unakuta kila kitu huko!!!
 
.
Screenshot_20190221-160008.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom