Msaada: Shule za serikali zenye walimu wengi/wakutosha Dar es Salaam

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
Habari ndugu,.
Naomba msaada kwa anayejua shule za serikali ambayo/ ambazo zina walimu wengi yaani walimu wa kutosha.
Hapa nikwamba, shule hizi hazina tatizo la upungufu wa mwalimu wa somo hata moja.

Hii imezoeleka shule za private, lakini kwa bahati nzuri inawezekana ikawa hata ikatokea shule za serikali.

Nitashukuru kwa msaada.
 
Back
Top Bottom