Msaada shule bora ya sekondary ya michezo

inchaji

JF-Expert Member
Jul 5, 2019
2,420
4,922
wakuu nina kijana wangu anamaliza darasa la 7 mwakani.

nataka akiwa tayari kuenda o level nimpeleke shule ambayo haijali tu masomo ya kawaida bali michezo pia. nataka kutengeneza bonge la central defender kwa ajili ya professsional football na Taifa Stars.

asanteni.
 
Mtafutie nafasi La masia au kokote Uingereza au Spain kwa hapa bongo hutafanikiwa
 
Fountain gate Dodoma kuna kama academy wameanzisha kwa wale wanao cheza mpira au wana taka kuendelezwa kwa mpira wanalipia kwa miezi mitatu 200000 na kitu ila kama kwa masomo ya mpira ila kwa masomo mengine kuna kiasi pia itabidi alipie wana jitahidi kidogo

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Nataman wazaz wangu wangejali hilo kipind hicho, Dah wazee walitulea kibabe san huulizw nin unataka
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom