Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,829
- 33,224
Ndugu wanaJF, nina ndugu anahitaji kusafiri kwa moja ya mashirika ya ndege kutoka Dsm kwenda Mwanza hivi karibuni, swali ni kwamba;
- Shirika gani la ndege lina bei zenye unafuu ikiwa mtu anasafiri na mtoto wa chini ya umri wa miaka 10?
- Utaratibu wa kupata ticket/booking toka Mikumi Morogoro