Msaada: Sheria za kazi za tz kibarua mwisho muda gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Sheria za kazi za tz kibarua mwisho muda gani?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Paje, Jun 9, 2011.

 1. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hello JF
  kwa mujibu wa sheria za kazi hapa TZ inabidi kibarua anaweza kufanya kazi kwa muda gani bila ya kuajiriwa na kukatiwa bima (nssf na nk.)

  maana nahisi kama napoteza haki zangu
   
 2. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Pole Mkuu kwa kudhulumiwa haki zako.

  kwa mujibu wa sheria ya kazi kibarua ni ndani ya miezi sita tu!! ukizidisha hata siku mmoja unatakiwa ukarepot kwenye vyombo husika vya kazi na sheria!!

  ila fanya hivyo kama una uhakika na kama kuna mkataba uliopewa kimaandishi kuwa wewe ni kibarua halali na una kitambulisho.

  Unaweza kupoteza kazi yako bure, sometime ni bora uendelee kuwa kibarua kuliko kufungua kesi. Boss anaweza akahonga halafu wewe ukakosa hata kibarua chako,

  Kazi ni kwako mkuu kama upo tayari kujilipua jilupue tu , na ukilianzisha balaaa jua moto utawaka kweli kweli

  Halafu mfano umefanikiwa wakakupa shavu hapo ofisini kwa lazima, dah sipati picha ofisi nzima wanakuchukia kwa kuwafungulia mashtaka, hawakawii kukutafutia sababu ufukuzwe kazi. ukichelewa ofisini hata sekunde moja tu unakuta barua ofisini.

  Mi nakushauri uongee na wahusika hapo ofisini wakushauri ni jinsi gani utaweza kupata kazi hapo, waeleze kuhusu uzoefu na miezi sita kuwa imefika,ila wasijue kama unataka HAKI.

  CHEERS mkuu!!!
   
 3. Mdau Mkuu

  Mdau Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  dah nimekukubali sharobaro kwa ushauri ulotoa ime2lia
   
 4. m

  mmsamaria New Member

  #4
  Jun 15, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha kumuogopesha,

  Tukiwa waoga namna hiyo hatuwezi kupata haki zetu, habari ya watu watakuangaliaje ofisini, ooh mara boss wako atakuchukia sio za msingi, suala ni kwamba una haki ipi na je unaipata na kuifurahia haki hiyo, kama huipati itafute bila kujali "watu" watakuangaliaje! Unaweza ukaenda ofisi yeyote inayotoa msaada wa kisheria wakakupa ushauri zaidi.

  Naendelea kukushauri kuwa, usiwe mjinga, pigania haki zako no matter what.

   
 5. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2011
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45

  Pakua document inayohusu sheria za kazi tanzania labda unaweza ukapata majibu ya maswali yako


  View attachment 32031 View attachment 32031
   
Loading...