Msaada sheli: Nijiandaeje kwa masters nje?

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
208
82

ndugu zanguni,naomba msaada wenu wa mawazo,sasa ni mwanafunzi wa telecommunications engineering mwaka wa pili,kozi ya miaka minne,nina nia ya
kuja kusoma masters baada tu ya kumaliza hapa,nianze kujiandaa kwa yepi sasa au bado mapema?
 
anza course ya Communication skill, na uijue vizuri lugha ya Malkia
 
Kama utahitaji kupata Scholarship inatakiwa ujitahidi ufaulu vizuri sana, yaani upate GPA kubwa ndipo utaweza kupata scholarship. Vinginevyo kama mwenzetu una pesa utapata tu, Manake elimu nayo ni biashara siku hizi, kama unalipa pesa yako haitasumbua kabisa.
 
ndugu zanguni,naomba msaada wenu wa mawazo,sasa ni mwanafunzi wa telecommunications engineering mwaka wa pili,kozi ya miaka minne,nina nia ya
kuja kusoma masters baada tu ya kumaliza hapa,nianze kujiandaa kwa yepi sasa au bado mapema?

Mkuu,
Ukimaliza tu naomba unipe details zako (matokeo yako/degree certificate average yako ya mwaka mwisho iwe 60%), scholarship ipo lakini ujiandae kufanya double degree MSc na MTech Electrical Eng.
 
waweza soma kama ilvyokuwa kipindi kileeeee....upo FORM TWO lakini sylabuss ya FORM SIX ushaimaliza tuishen...hahaaaa elimu ya kibongo hiyo!!:whoo:
 
Master's degree ya fani ipi? Unataka kusoma katika mfumo upi wa elimu? UK? US/CANADA? SCANDINAVIA? NETHERLANDS/GERMANY? Utajisomesha au utatafuta ufadhili? Na baada ya kusoma,ka ni nje,una mpango wa kurudi TZ au utazamia? Ukijibu haya,then ndo nitakusaidia.
 
Bhebhe nyandaigobheko! msaidiage ng'wanangwa ng'wene.
 
Back
Top Bottom