Msaada: Sehemu gani ya kumpeleka rafiki kwenye siku yake ya kuzaliwa?

Sasa kama anataka kuzaliwa si umpeleke hospitali au unataka azaliwe nyumbani??

Anewei, hili swala watafute idara ya wanyamapori watakupa sehemu mbalimbali za kuchagua. Hawa jamaa hawakosi mahali wana mapori ya akiba mengi sana.
 
Fisi
MLETE HOME KWANGU. Ukimleta huku hamna shida mimi naweza ogelea hata akijaa yeye...
but kwa ufupi mlete home kwangu aje aenjoy life siku hiyo nakuhakikishia hakika hatoisahau hiyo siku na atataka kila siku iwe birthday yake ili umlete kwangu. mlete aje aenjoy kwangu.
 
Sasa kama anataka kuzaliwa si umpeleke hospitali au unataka azaliwe nyumbani??

Anewei, hili swala watafute idara ya wanyamapori watakupa sehemu mbalimbali za kuchagua. Hawa jamaa hawakosi mahali wana mapori ya akiba mengi sana.
Hahahahahahahahaha alizaliwa hospital sasa hivi anataka abadili kiwanja iwe nyumbani....

Wanyama pori.... lol.
 
Back
Top Bottom