Msaada: Sauti kwenye Laptop

Dio

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
1,274
1,250
Wakuu poleni na majukumu ya hapa na pale,

Naomba msaada kwa mwenye ujuzi laptop yangu aina ya dell, imekata sauti gafla nashindwa kuelewa tatizo limetokana na nini.

Msaada tafadhali
 
Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,022
2,000
maelezo hayatoshelezi

wtf;
> ukiweka earphones?
> je ile alama ya volume pale chini ina X au?

pili
anti virus sometimes zinaweza sababisha ilo tatzo la sauti, unatumia ant virus gani?

tatu

inawezaekana ni tatzo la kisoftware au hardware fanya ivyo vitu viwili juu kuona tatzo ni la soft au hardware, so as to come up with a best solution.
 
asante ukiweka earphone inasikika
kwenye volume hakuna X
Ant virus ninayotumia ni kaspersky
 
Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,022
2,000
asante ukiweka earphone inasikika
kwenye volume hakuna X
Ant virus ninayotumia ni kaspersky

mh hapo mbona ni kama tatizo la speaker bila shaka, case kama izo nilishakutanana nazo, jamaa yake iliunguaga speaker alikua na mazoea ya kupiga mziki kwa sauti kubwa vlc inaharibu sana speaker.. kwa upande wangu naona ivyo tatizo ni la hardware ingekua software ingekua rahisi kukusahidia kusolve.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom