msaada samsungalaxy chat haina play store

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
naomba mnisaidie nimenunua galaxy chat lakini sioni sehemu ya play store...nifanyaje ili niipate playstore???
 
fungua account kwanza ya Gmail ndiyo itakuonyesha procedure nyingine za kufuata..hakikisha iko connected na internet.

Usisahau kunitumia no.yako tuchart.
 
fungua account kwanza ya Gmail ndiyo itakuonyesha procedure nyingine za kufuata..hakikisha iko connected na internet.

Usisahau kunitumia no.yako tuchart.

Mkuu nimeshangaa hata sehemu ya kuinglia na gmail kama nlvyozoea ktk android nyngne humu hakuna.hata ktk sehèmu ya kusync akaunt hakuna sehemu ya gmail.
 
check vizuri kwenye application zako lazima iwepo android ile ya kizamani kabla ya kubadilika kuwa play store
 
check vizuri kwenye application zako lazima iwepo android ile ya kizamani kabla ya kubadilika kuwa play store

Mkuu ahsante kwa ushauri, asubuhi hii nimerudi dukani na kweli ni yenyewe tu haikuwa na play store, hvyo wamenibadilishia na kunipa nyngne yenye play store.

Sasa waweza nipa namba yako tuchat boss.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom