Msaada: Samsung Note...inajizima na kuwaka yenyewe

Lavit

JF-Expert Member
May 16, 2011
13,136
27,083
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe....
Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi itajizima...
Ikiwa kwenye chaji hata haizimi, pia nikiitumia bila data pia inakuwa poa tu..

Hapa nimebadilisha betri zaidi ya mara 3 sioni mabadiliko...

Naomba msaada,tatizo linaweza kuwa nn..na solution yake ni nini??

Kama kuna mtu anamjua fundi mzuri hapa dar anielekeze, simu yangu bado naipenda wakuu!!
 
Kama kwenye PC kuna recycle bin kwahiyo angalia hapo kwenye chumba uliopo kama kuna recycle bin kama huna install then tupa and empty bin ...Problem Solved
 
Akiufuata huu ushauri atakuwa amesaidika sana,simu ukishampa fundi akaitia tia vidole hiyo inakuwa siyo simu tena bali kopo.
 
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe....
Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi itajizima...
Ikiwa kwenye chaji hata haizimi, pia nikiitumia bila data pia inakuwa poa tu..

Hapa nimebadilisha betri zaidi ya mara 3 sioni mabadiliko...

Naomba msaada,tatizo linaweza kuwa nn..na solution yake ni nini??

Kama kuna mtu anamjua fundi mzuri hapa dar anielekeze, simu yangu bado naipenda wakuu!!

Habari mkuu,kama haujafanikiwa tatzo lako naomba tuwasiliane ufike ofisini kwa msaada zaidi.Mawasiliano 0766334991
 
Wadau hii simu inanipasua kichwa na hii tabia ya kuzima na kujiwasha inavyotaka yenyewe....
Tatizo huwa linaanza nikiwasha tu data, inaweza tulia kwa muda ila nikigusa tu baadhi ya app basi itajizima...
Ikiwa kwenye chaji hata haizimi, pia nikiitumia bila data pia inakuwa poa tu..
Hapa nimebadilisha betri zaidi ya mara 3 sioni mabadiliko...
Naomba msaada,tatizo linaweza kuwa nn..na solution yake ni nini??
Kama kuna mtu anamjua fundi mzuri hapa dar anielekeze, simu yangu bado naipenda wakuu!!
Mkuu samahan, ulifanikiwa kufix tatizo lako na mim nina shida.
 
Back
Top Bottom